HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:زکات و صدقات)
-
je mtu asiwajibikiwa kufunga (asiyefunga) ana ulazima wa kutoa zakatul-fitri?
11124 2012/05/23 Sheria na hukumuMtu atakaeingiliwa na usiku wa Idil-fitri huku akiwa ni baleghe na mwenye akili timamu naye akiwa si mtumwa wa mtu wala si fakiri mtu huyo atawajibika kutoa zakatul-fitri kwa ajili yake na kwa ajili y