HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:دین)
-
kama kweli dini imekuja kuimarisha maisha ya dunianai na Akhera, basi mbona maisha ya baadhi ya wale wasio fungamana na dini, wao ni wenye nyenendo zenye mfumo bora azaidi wa maisha?
12559 2012/05/23 Tabia kimatendoUislamu umekuja kwa ajili ya kuwapangia wanaadamu mfumo maalumu wa sheria za kijamii sheria ambzo ni kwa ajili ya kuweka uhusiano salama na wenye mafanikio baina yao wenyewe kwa wenyewe baina yao na M
-
tafadhalini tunaomba mutufafanulie naana ya Aya isemayo:
“لا اكراه فى الدّين قد تَبَيّن الرّشدُ مِن الغىِّ...”
10820 2012/05/23 Elimu ya zamani ya AkidaTukizingatia aina mbali mbali za tafsiri kuhusiana na Aya hii tutaona kuwa kuna kauli tano tofauti zilizotajwa katika kuifasiri Aya hiyo na kauli sahihi ni ile isemayo kuwa Aya hii imebeba ujumbe kwa