HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:پیامبر اکرم ص)
-
nini siri hasa ya Uslamu kuwa ni dini ya mwisho, na nini pingamizi hasa ya bwana Surush juu ya hilo?
13797 2014/02/12 Elimu ya zamani ya AkidaKuzingatia nukta zifuatazo kutaweza kumsaidia msomaji kulitambua vyema suala hili: 1- Hitimisho la utume lina maana ya hitimisho la dini; na hii inamaanisha kuwa hakutokuja mtume mwengine baada Yake