HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:قضای روزه و کفارات)
-
je nini wajibu wa mwanamke anayenyonyesha kwa muda wa miaka miwili mfululizo? Hivi yeye atatakiwa kulipa fidia ya funga zake pamoja na kuzilipia fidia kwa kutokana na kuchelewesha kuzilipa funga hizo?
11202 2012/05/23 Sheria na hukumuJawabu kutoka ofisi ya Ayatullahil-Udhmaa Sistani Mola amlinde : 1-mwanamke ambaye ananyonyesha aliye na uchache wa maziwa awe ni mama wa mtoto au mlezi anayelipwa kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto hu
-
je ni wajibu wangu kulipa fidia ya funga zilizonipita kwa kutokana na uzembe wa wazazi wangu?
7987 2012/05/23 Sheria na hukumuOfisi ya Ayatullahi Sistani Mungu ameweke inajibu kwa kusema: Iwapo wewe ulikuwa hujui kuwa saumu ni wajibu basi lipa tu hizo funga za miaka minane na hakuna haja ya kuzilipia fidia. Ofisi ya
-
nini hukumu ya mtu aliyekuwa anadaiwa funga kisha akawa hakuilipa funga hiyo hadi akafikiwa na Ramadhani nyengine ya mwaka ulioufata?
14508 2012/05/23 Sheria na hukumuTokeo hilo linaweza kutokea katika sura tatu nasi tutazifafanua sura hizo na kuzijibu kwa mujibu mitazamo ya maulamaa isemavyo. Na jawabu zetu ni kama ifuatavyo: 1- iwapo mtu ataacha kufunga kwa kut
-
iwapo mtu ndani ya usiku wa mwezi wa Ramadhani atabakia na janaba hadi wakati wa adhana ya asubuhi kwa makusudi bila ya kukoga, mtu huyo atatakiwa kufanya nini? Je ailipe ile siku moja tu, au pia atatakiwa kulipa fidia?
22048 2012/05/23 Sheria na hukumuiwapo mtu atawajibikiwa kufunga mwezi wa Ramadhani naye kwa makusudi akabakia na janaba hadi adhana ya asubuhi anaweza yeye akatayamamu katika nyakati za mwisho kabisa kabla ya kuadhiniwa adhana hiyo
-
iwapo mtu ataiharibu funga yake kwa makusudi, huku akawa hawezi kuifidia funga hiyo kwa kutokana na ugumu wa masharti, kwani utowaji wa fidia katika njia ulipaji wa funga iliyoharibiwa kwa makusudi, ni mgumu mmno. Mtu kama huyo basi itambidi afanyaje? Baada ya kuzingatia kuwa yeye hawezi kuwashibisha maskini sitini wala kumwachia huru mtumwa, na pia hawezi kufunga miezi miwili mfululizo, je atowe tu kiwango akiwezacho kukitowa na kuwapa maskini?
8275 2012/05/23 Sheria na hukumuWanazuoni wa Kifiqhi wanasema kuwa: mtu atakayeiharibu funga yake kwa makusudi antakiwa ima amtowe huru mtumwa [ 1 ] au afunge miezi miwili mfululizo au awalishe mlo mmoja maskini sitini mpaka washibe