HAZINA YA MASWALI(MPANGILIO WA KIMAUDHUI:گوناگون)
-
nini hukumu ya kufuga njiwa ndani ya sheria za Kiislamu? Na nini msingi hasa wa hukumu hiyo?
25134 2012/06/17 Sheria na hukumuTukilitazama suala la kufunga njiwa kibinafsi tutalikutia kuwa suala hili halina matatizo na ni halali. Lakini pale sisi tutapolimbatanisha suala hili na haki za majirani au wanajamii hapo tunaweza ku
-
je hivi kuna kifungu chochote kile ndani ya sheria ya kiislamu, chenye kuzungumzia suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti? Na je suala la mtu kuwa na kazi mbili tofauti, huwa linaanisha kuwa mtu huyo ni mwenye kuiendekeza au kuipenda sana dunia kuliko Akhera?
10797 2012/06/17 Sheria na hukumuKwa kweli kisheria hakuna matatizo yoyote yale kuhusiana na suala hilo la mtu kuwa na aina mbili za kazi au madaraka. Ndio Uislamu umewatahadharisha watu kuhusiana na kuwa na mapenzi makubwa ya kuipen
-
je inafaa mtu kumfunga uzazi paka wake kwa ajili ya kumlinda asidhurike kutokana na kuzurura ovyo kwa ajili ya kutafuta uhusiano wa kijinsia?
12113 2012/06/17 Sheria na hukumuJawabu kutoka ofisi ya elimu ya AyatuLlahi Khamenei Mungu amhifadhi : Iwapo kumfunga huko mimba kutakuwa ni mateso kwa mnyama huyo basi jambo hilo halitofaa kutendwa. Jawabu kutoka ofisi ya elimu